Sunday, 18 January 2015

Bidii siri ya mafanikio

Mhu 9;10a
"Lolote mkono wako utakalopata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako;"

Watu wengi hawapendI umasikin na wakati mwingine kuwa na maombi ya kuutokomeza lakini pasipo kufanya kazi ni sawa na mtu asiye na maono.
Bidii siri ya mafanikio

No comments:

Post a Comment